Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Fei Kubwa🙌🏾
100,505 Aufrufe • vor 3 Jahren •via X (Twitter)
10 Kommentare

Uzuri mwenye hii media pia alikataliwa na vyombo vyote vya habari nchini na alipitia dhihaka kama hizi pindi alipokataa unyonyaji Baadae amekuja kua mkombozi na mwana mapinduzi wa muziki Tanzania na kua mwana muzki tajiri zaidi Tanzania. FEISAL UTAKUJA KUELEWEKA MBELENI.

Una promote huu upuuzi kwa maslahi ya nani? Vaa viatu vya Fei kisha ufikirie unakejeliwa namna hii.

Fei kubwa miyeyusho sana, na akiendekeza hawa wapambe nuksi, ataenda kusaidiana na kikundi cha kinaMama Vuga kulima Mwani?

Mbona mahakamani wakili huwa anamuandaa mteja wake kwa kumuuliza Maswali kabla hata ya proceeding kuendelea. Ni vitu vya kawaida ko hapo mnatafuta bifu na clouds tyuu.

Leo ndio nimekuona masudi mtu wa hovyo unamuandaa mtu kitu chakuzungumza unashusha hadhi ya radio clouds ni radio kubwa una sasa

Upuuzi mtupu..alafu kuna wengine wanaitwa manguli kumbe upuuuzi mtupu

Mnazingu hzo mambo Mnafanya vitu vya kitoto Hya sio mambo ya kushangilia

This is childish, 🚮

Masood kaumbuka

kwaio wanashindana na clouds au 😂😂
Ähnliche Videos
Sensitive content
This sister is spitting🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
justasistertryingtotweet
122,186 Aufrufe • vor 1 Jahr

![[Savior Play] Fei JP CV: Suguta Hina KR CV: Shin Na-ri](https://image.24vids.com/tw-2049400792369729728/media/HHDzhoqbMAA9YuN.jpg)