正在加载视频...
视频加载失败
Gen Z mahakamani.
41,342 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Pio Mponzi2 年前
Hiki ni kizazi hatari na hawaogopi chochote na majumbani mwetu tunao kibao. Kizazi hiki kwa Kisungu wanasemaga "They have nothing to loose but all to gain."

Fedrick Mwinuka2 年前
Dah haw gn z wana watu intelligent san yan

Frank Mlawa2 年前
Mwamba kabisa uyu jamaa dah Kenya wametuzi mbaaaaaaaaali sana

Mbowe Must Go 2Day2 年前
Watanganyika elimu imetuponza

Nicki Massawe2 年前
Asee jamaa kamwaga point mpaka mwanaseheria kaogopa

switcher2 年前
Daaaah tanzania yangu when ? Tutafika lini huku aisee

Ludovic Sebastian. CO2 年前
Nilikua sijasikiliza vzr hadi mwsho kumbe alimwaga upupu mwishoni

Benedicto Mnubi2 年前
We need this spirit.

Reality_check2 年前
@Vitalis_Fusi Mwamba ana hasira sana

kimbesa.2 年前
Walifata mkumbo sahzi wapo pekee yao. Hapo lazma wapigwe mvua ya maana
相关视频
0:50
Sensitive content
Gen z jameni
Boniface
85,158 次观看 • 1 年前
