Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
God bless you.
19,890 görüntüleme • 3 ay önce •via X (Twitter)
26 Yorum

Rudi mapokezi waambie dr.kasema hakuoni kweny mfumo

Huku kwetu haiwezi kuwa hivi wafanyakazi wengi idara ya afya hawana wito

Nchi ya popo manesi wanakesha na wagonjwa usiku kucha alafu kwa mwezi mtu analipwa laki tatu tu sector muhimu sana na akistafu kikokoto mfyaaaa ,bila kusahau ,walimu,madactari kuna wao sasa gari ya kutembelea bei ,nyumba bei ,msharaha usiseme marundo kwa marundo

Thanks Lema for the appreciation. Sekta ya Afya imekuwa chombo cha kisiasa tu siku izi

Kaka Nabii Ila hii huduma ya kujali hivi siyo kibongobongo aiseee nakataa labda mambele huko sijawahi iona bongo.

@MuggyMaggy Hizi clip za Kibongo Huwa hatuna

Ndiyo

Njoo Tz sasa uone vituko. Marq operation imefanyika dr hajaandika dawa, nesi anamtuma mgonjwa au mlezi wake dawa, Yaani hamna uwajibikaji kila sehemu. Kuna shida kwenye mfumo, sera na uongozi.

👀

Wakati wengine wanakimbilia kuokoa maisha huku samia, Abdul, Kikwete, mafwele, yule Mzanzibari na wengine wanakimbilia kuua watu. Tumemkosea nini Mungu akatupa hawa watu?!

Sasa turudi na nyumbani, vipi wanapirikapirika kama hizi?? Au kwetu kifo ni kifo tu?? Hizo pongezi ziwafikie wasiojua kifo ni kifo, ila kwa wengine wote wakafie mbali

SECTOR YA ELIMU NA WALIMU NA SECTOR YA AFYA MANESI HASA NA WAKUNGA WANASTAHILI KULIPWA MISHAHARA MIZURI KAMA WANAJESHI,KUMBUKA HIZI SECTOR NI SEHEMU YA JESHI NA ULINZI WA NCHI,BILA MWALIMU HAKUNA ASKARI MZURI WALA DOCTOR AU NESSI MZURI,NA NDANI YA VITA DOCTORS NA NESI HAWALAI

Sio Tanzania huku unafia mapokezi

NDANI YA VITA DOCTOR NA NESSI HAWALALI KAMA AMBAVYO ASKARI HAWALALI,BILA WAO VITA ITAISHIA NJIANI,ILA WANASIASA WANAONA JESHI LA MADOCTOR ,MANESI NA WALIMU SI MUHIMU KAMA WAO,NA NDIO MANA BUNGE LIMEJAZA VILAZA WALIMU WAMEGOMA VYETI FEKI TU NDIO VIMO MLE SIKILIZA HOJA ZAO NDIO UTA

@mapendo_msaki Tanzania huwezi Kuta manes ama ma doctor na mfumo huuu hapa kwetu utalikuta LI LI nes liko kuchezea cm kmmk zao hafu mgonjwa Yuko hoi yaaani ndio mana Mimi nikiona watu wanaongelea Utendaji natamani hata kesho ccm waondoke tu wanaharibu sana Taifa letu

Kalipie faili kwanza ,,,🤣

Huku ni kwa wazungu mzee, me na rafiki yangu tulipata ajari ya pkpk, tukaenda hospital tena emergency, tulizungushwa hadi tukaamua kwenda kwa mganga kuunga mguu uliteguka, mala kadi, mala ntandao unasumbua!

Ndio Ni Kweli ila Sio kwetu hapa

Wakwetu yao ni matusi tu

Nchini Kizimkazi, Ukiona Mikimbio hiyo Basi Ujue Wanakukimbiza Fastafasta MOCHWARI. Hata kama Ulikuwa umezimia Bado wa motomoto Ukamalizikiee hukohuko kwenye Barafu. Kama UNABISHA kamuulize yule Bibi wa Ushuhuda kwenye Tume ya Mchongo ya CHANDA, CHENDE, CHINDI,CHONDO, CHUNDUU🚮

Njoo Tanzania sasa, utafurahi.

GOD BLESS THEM. 🙏🙌

@Isayadicksonjr Tunashukuru pia

Kwa wenzetu, hapa kwetu ni ndoto.

Kwamtu ambaye anaishi tu tanzania hajawai hata kufika nchi za watu hawezi kuelewa hayo mambo

Hawa ni wazungu, waafrika siwaoni😀
