正在加载视频...
视频加载失败
GODBLESS LEMA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
10 条评论

@godbless_lema ni sawa na mawaziri kumi tulionao sas hivi kifikra na maono ,unaongezea na juliana na neema kama kifungashio

@godbless_lema wewe ni zaidi ya kiongozi, bro sio tu wapinzani hata sisi @CCMTanzania tunakuelewa ni vile tu viongozi wetu hawataki kupoteza ugali wa familia

Tanzania kuna hazina ya watu ila ndio nafasi haziwafikii na ikitokea unapotezwa tuliombee sna hili taifa

@godbless_lema Daaah.Watu wana Akili kubwa sana

Namuona peneza kabla ya kufika bei

Mchango mzuri, mwisho wa siku JPM ni malaika. Tukikubali kuchukua uelekeo wa Magufuri tukatengeneza Sheria ambazo zitatupeleka kwenye uelekeo kama wa JPM tutatoka 👏👏👏

Daaahh iv bungen wanaongelea nn siku izi

Always He is ahead

Hata sisi @ccm_tanzania tunakukubali ndg. @godbless_lema

NABII ALISEMA NA YAKATIMIA!
相关视频
Sensitive content
GODBLESS LEMA Anapiga Utosini Tu 🔥
KIDUKU
62,931 次观看 • 1 年前
