Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
GODBLESS LEMA Anapiga Utosini Tu 🔥
62,931 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

WAJUMBE Fanyeni Kama BAVICHA 🔥😂

love the elements in this song

Lissu na heche wakipita nitachukua kadi na kuwa mwanachama wa CHADEMA

Mwamba anapiga pale pale utosini Spana tu

Wanaokudanganye eti una busara, @freemanmbowetz huna busara yoyote, njoo upate shule hapa

very powerfull speech kma kiongozi anamkumbuka hadi Aqwelina dah jamaa ana nia njema sana na chama that is real speech 👊🏾

Azidi kukabia sana uko juu Tutapata goli hapa

there is something really fishy with Lema,anaongea as if yeye ni malaika vile I dont believe that nonsense i can see bullshit from mile away

Lema anakabia juu balaa Tundu will fix it

hakuna mwanasiasa anataka swawabu mara zote wanataka sifa na ndio maana hata msaana mdogo anaitisha vyombo vya habari

Maneno HAYA ya Ovyo ya Lema Yanaonesha n Kwa namna Gani binadamu hawana Shukrani Siku zote fimbo ya mbali haiui nyoka
