正在加载视频...
视频加载失败
Good young Men !
71,688 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
25 条评论

Akili kubwa.

It is very very dangerous to be right while the gvt is wrong...!!!

Viongoz weng hawapend watu wenye maono wanapenda machawa kaz kuwasifia Kama wamemuua n pigo sio tu kwa tanzagiza bali kwa afrika nzima

Watu wanateswa na miamala hadi basi, hata ukitoa buku tano unakatwa mitozo km yote, na bado maisha yetu ni machungu kila kona bei za vitu ziko juu, hospitali gharama ni kubwa, biashara ni ngumu, makodi TRA yako juu, jamani maisha ni machungu mnoo

@Little_s0n Fb

Lema nauliza with senses na kilio kikubwa sana.Natoka machozi hapa.hebu nielekeze kama nitauwawa kesho,the legacy I leave at my place ni ipi ili wasinisahau?There is something I want to do!Will tell u after the advice. My blood will be upon their heads

Hii nchi mtu wa kwanza ambaye hana Huruma ni katiri sana . Aliyeruhusu kusign sheria za kodi ya miamala ya simu. Hii kitu haina tofauti ma kodi ya kichwa ya enzi za mkoloni. Kila mwnye simu anayoa kodi kila apofanya muamala.

Nchi ya tatu kwa umaskini duniani 😂😂. Ukimuangalia anavyoongea kama anaelewa vitu kumbe haelewi kabisa. Watanzania tuendelee kuwa making na hawa wachochea machafuko. Amani yetu ni azina. Mama unafanya kazi San sana, Mimi sio maana siasa ila naweza kukiri waziwazi hilo.

Abdul maisha ya Raha na starehe.

Roho yangu inaumia sana roho yangu inaniambie kijana huyu mpambanaji kuna namna hipo ambayo sio salama sijui kwann naumia kihasi hiki siku za hivi karibuni😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Vijana na sie kunawakati tunakuwa vigeuvegu kabs hatuna msimamo kabs hapa kunasiku nitasimama na mtutu wangu kupigania haki yangu sio

Kuna vichache vina maana na kuna vichache vya kipumbavu ameviongea...

He was so young

Msisahau kuhusu beni au tumebariki kupotea kwake

Sasa hayo ndo mambo yakuongeleka

Dàah 🥺

Well said

Abaki salama.

Appreciate young man

Apewe ulinzi mana wajinga wakiona mwenye akili wao wana waza kumuuwaa

😭😭😭kwl inaumaaaaaaaaa kmmmmmmmmmmmmmk wausikaji

Anatokea mtu kwajiri yamaslai yake binafsi anamteka huyu anatokomea nae Nisawa namtu anaeharibu chanzo chamaji au anahujumu uchumi lazima azingatiwe

Hapo kwenye umaskini tanzania haipo nafasi ya 3

Mungu amlinde

Mumemponza nyie mnakula maishaa mbezi masaki vijana hawa viongoz wa juu wa chadema wanamanufaa binafsi kwa kila wanachokifanya mnaozea jera kwa kuwanufaisha wengine amkeni siasa michezo mchafu
相关视频
Sensitive content
She’s bothered about being attracted to young men. She’s got a good response from Steve Harvey.
The Odin
325,182 次观看 • 3 个月前
