Loading video...
Video Failed to Load
Hakika TUTASHINDA.
45,402 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Nashauri chama kiwe na bavicha 100 au zaid trained kwenye kila ziara ya viongozi wa kitaifa itasaidia mi ni miongoni ambao ni trained nimeiona ukamataji wa Leo ni uvamizi sio ukamataji huezi ukamkamata kiongozi wa kitaifa hivo tuwalinde viongozi wetu

Hatutokata tamaa kamwe, watu washaelewa No Reforms No Election... Tuendelee kupeana mbunu za ujasiri tu Inshallah ipo siku yote yataisha haya

Chadema wanapitia Capitol makubwa sana..just imagine hawa ni wana siasa tu..wale mafisadi waliotajwa na CAG wanakula kiyoyovi..hili nadiriki kusema @SuluhuSamia italipia..ww sio Mungu

Mwanga uko mbele ,hii mbinu haitofanikiwa natabiri Leo, wakiendelea kumshika Lisu ,Mungu atashusha pigo kubwa ndani na baada ya siku 14 zijazp

got a min for a new song?

Mangi pambana boda ya namanga ipo mbali kama unaona itakuwa mbaya pitia msumbiji

Kabisa Lema. It has never been easy. The Long Walk to Freedom.

After a long circle now they held him. #FreeTunduLissu #NoReformsNoElection

Mungu Awatie Nguvu na Kuwalinda na Hila Zote.... #NoReformsNoElection

Mithali 24 19 Usikasirike kwa sababu ya watenda mabaya; Wala usiwahusudu wabaya; 20 Kwa maana mtu mbaya hapati thawabu; Taa ya mtu mbaya itazimika.

Hii ni mbinu ya kuwatisha na kuwatia woga Wananchi hakuna kurudi nyuma No reforms No election
