正在加载视频...
视频加载失败
HALI NI MBAYA🚨🚨🚨
15,978 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

KUNA KUNDI KUBWA LA BODA BODA WANAKUJA LEO NI DAR NZIMA INAPIGA MWIZIII

Hawa mnaowaita waoga hawatakua hivyo siku zote. Sasa wameanza kujitetea. Msiendelee kuwa vibuli acheni kutumia nguvu. Hao waoga wakiwa wamoja hamtakua wazuia na hamtakua salama.

Nainjoy kila sekunde moja ya hii habari. The fact kwamba raia wanajaa is enjoyable to watch.

Media zinatakiwa zifike hili eneo sasa ili kujua kipi kinaendelea

Ama kweli ukistaajabu ya musa utaona ya firauni kweli leo ndo ule msemo kuwa uyaone ndo nayaona

Tupo pazuri wao si wanaona nchi ni ya baba yao

Mwenyezi Mungu amlinde Askofu,

We need our #TanzaniaBack. Haya sio maisha yetu. Ata Magufuli akufikia atua ya kuvamia misikiti au makanisa. Hii laana anaibeba nani? No matter how he never wanted to be criticism. Rest In Peace Magufuli.

BWANA TUOKOEEEE😳

Shikilia hapohapo hwaji boy this fuckn people thinks that Tanzanian are still stupid like them all Tanzanian police Officers and ccm MP are guy
