Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Hapa kuna mambo haya ✌️

39,313 views • 15 days ago •via X (Twitter)

13 Comments

Mary Kisoka's profile picture
Mary Kisoka15 days ago

Hii unakuta wakati wa uhai wake mume hakumshirikisha mke kwenye hii biashara ili ajifunze. Hivyo anapokuwa amefariki mke anakuwa hajui chochote kuhusu usafirishaji na hana pa kuanzia. Kitaalamu tunasema ubinafsi ulitawala hii biashara. Badala ya kuwa ya familia ikawa ya mume.

slobodan Simba's profile picture
slobodan Simba15 days ago

Exit succession plan nitatizo kwa matajiri wetu, kampuni nyingi zimekufa kwasababu hatuwafudishi, kuendeleza na kuleta ubunifu kwenye biashara

iamsittazablon's profile picture
iamsittazablon14 days ago

Km kwwli lkin…!! Hichi ndicho kitu nawaambiaga wanangu hakuna haja ya kumficha mkeo mali zako … focus inabd iwe kweny our selection process pale ukipatia hakuna haja ya kuficha mali.

Uchebeh 64's profile picture
Uchebeh 6415 days ago

1) Make kahonga 2) Make hajui chimbo la mganga wa mumewe

ATIENO.'s profile picture
ATIENO.15 days ago

Mchepuko

erick's profile picture
erick15 days ago

matatizo tupu

NGAILLAH's profile picture
NGAILLAH15 days ago

Kampuni gani hii?

Dazzy Elly's profile picture
Dazzy Elly15 days ago

Yataje

Lab Technologist 🔬's profile picture
Lab Technologist 🔬14 days ago

super sami

i luv liki  musyoj's profile picture
i luv liki musyoj14 days ago

Men are a god to a Woman.. Women see workers as thieves and hence no work will be done at all they prefer dresses and dubai trips over investment. But Mary is trying they have been repair reviving old engines & gear boxes instead of buying new ones ..It will be well for Beards

Trevor Placide🇧🇮's profile picture
Trevor Placide🇧🇮15 days ago

Duuh

erick's profile picture
erick15 days ago

noma

Jotiel Kapwela's profile picture
Jotiel Kapwela14 days ago

Alishindwa hata kuyauza??