正在加载视频...
视频加载失败
Happy Holidays.
10 条评论

Emily❤️1 年前
Tajili.fanya chochote nipate kula

Maryam1 年前
@VideoDownloadX

Argo 61 年前
@ahmedsalimasas a very good investment. Nadhani sasa Ahmed ni muda sahihi wa kuanza kutoa darasa la wazi juu ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa kibiashara kwa vijana wa kiTanzania. Andaa darasa vijana wachukue madini.

Legion1 年前
Happy holidays ndio nini?? This is CHRISTMAS, wewe vipi bana??

MR SAN1 年前
☃️🎄🎁

Magobe1 年前
Vitu vinavutia machoni na rohoni, vitu vikubwa. Being a producer not consumer

Bin_abdallah1 年前
Great,nilikuja kufanya field kwenye mashamba yenu itoshe kusema boss,elimu niliipata kubwa 🙏🙏

3K Umahiri1 年前
Happy holidays you too. Hongera kwa kufikia hatua kubwa katika ufugaji.

H. Mollel1 年前
Aisee great investment. Hongereni

CONTE1 年前
Bonge la teknolojia Denmark wanatumia hii system
