Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Hawa ipo siku watapigana Studio 😂😂
125,642 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

DevotaTweve1 год назад
Mtawafuatiliaje wasipofanya hivyo? Chalesi wenzio wako kazini shtuka

WHYMYCATISSAD1 год назад
Nakuelewa Devoo

Solar Heavy1 год назад
where space meets sound

Zawadi Samsoni1 год назад
Ikifika suaoa la Simba na Yanga lazma wabishane sanaa 😄

Mzee wa Bookmark📘1 год назад
Au wanaigiza ili wapate views wengi na wasikilizaji😂

WHYMYCATISSAD1 год назад
Possibly 😅

Chadea Samhenda Jr1 год назад
Tunaomba Research ya Hans aise @Hansrafael19 ulisoma Chuo gan hapa had unashadadia Research unajua maana yake??? Achanaga Unafiki ipo cku Utajua Dunia ikoje we ngoja waendelee kukujaza upepo

𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™1 год назад
😂😂😂😂

WHYMYCATISSAD1 год назад
Mwanao ana moto sana 😂

N.g.o.m.e.s.h.a1 год назад
Acha wachapane tu😂😂

Abdul Rahman1 год назад
Huyo dogo anajikutaga smart sana qmmkeee...ila wanamjaza tu ipo siku atawajua vizuri binadam😀😀
