
WHYMYCATISSAD
@INFLUENCERjr • 310,941 subscribers
Only Person on X who doesn't Claim to be a Social Media Guru. Mwanasheria wangu @MiriamMkanaka
Shorts
Videos

Ruge Mutahaba alikuwa mtu bold sana Mwenyezi Mungu aendelee kumrehemu.
WHYMYCATISSAD34,556 views • 15 days ago

Dawa ya vinywaji feki imepatikana Si unaonaga ile stika ya TRA yenye QR Code? Sasa unachopaswa kufanya ni kwenda katika Play Store na kupakua APP inaitwa HAKIKI STEMPU. Unascan inakuonyesha katika simu yako kinywaji kimetengenezwa wapi, lini, na je kina uhalali? Bonyeza hapa kudownload #HakikiKwanza
WHYMYCATISSAD12,147 views • 9 days ago

Kwa raha kama hizi naanzaje kuhama Kimara??? Mitano Tena Kimara 😅
WHYMYCATISSAD113,306 views • 1 year ago

Hapa sasa Zanzibar wakubali yaishe au Tanganyika wachukue mchongo moja kwa moja 😂😂😂🙌
WHYMYCATISSAD154,948 views • 1 year ago
0:30
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
0:31
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Bongo wewe njoo na tabia zako tu wakula nao bata utawakuta hapa hapa
WHYMYCATISSAD29,468 views • 2 months ago

Mimi kama Mwanasimba nasema wazi kwamba tulichelewa sana kumpata Ahmed Ally.
WHYMYCATISSAD116,820 views • 1 year ago