正在加载视频...
视频加载失败
Haya mambo haya
17,563 次观看 • 3 个月前 •via X (Twitter)
11 条评论

Hii nchi ni kama tumelaaniwa

Majinga sana eti yanafunga barabara

Mimi naamini kabisa kuwa Dar Young Africans na Simba Sports Club siyo watani bali ni maadui. Iko siku yatakuja kutokea maumivu na makubwa kwa wananchi baada ya ndugu na jamaa zao kupoteza maisha kwa ajili ya mapambano ya silaha za jadi na mawe. Na hatuko mbali.

😂😂😂

😁

Bora yauane tuu maana hayana akili. Kazi za kufanya hamna hadi mnashinda kukimbizana na simba na yanga punda nyie. ?

Shida ni wenyeji tu , hata ufanyaje ndio hivyo ni ngumu sana kwa mgeni kuanza fujo ila mwenyeji amehisi kudhihakiwa ndio maana

Wenye eneo naona waacha wenyewe

Kolo hamjawahi kuwa na akili

Ujinga huu,kwa nchi masikini na hali mbovu za kiuchumi vijana wanaendekeza ushabiki wa mpira wa kijinga?

dah
相关视频
Sensitive content
Mambo ya divorce haya🫴
Yoyachris
85,536 次观看 • 6 天前
Sensitive content
Zingatia haya mambo mawili!
𝗠𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢𝗭𝗜
41,158 次观看 • 1 年前
