Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Hello desemba
38,448 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)
19 Kommentare

Mweshimiwa DC tulikujua Wengi kupitia huku,plz usipatose mara moja moja unaachia mawe kaka, Nakumbuka mara ya kwanza nasikia ngoma yako ya Good boy ikipigwa na Marehemu D7 kwenye kipind chake cha African beat kiss FM, Ilikuwa unyama sana,achia dude moja tu @nikkwapili

MH kwahiyo vijana tutuke magetoni aseeeeeeee?🤣🤣

Ile ngoma yako ya mngaleloo mbona haipo you tube mzee? Naisaka sanaaaa.

@tweetHelperBot download this

@SaveVideo_Bot

@TweetHelperBot download video

DC🔥

bless my nigga

@Savevideo_Bot

Safi sana

Akili mingii🤝🤝😟

We miso misondo umepigaje apo?

Mh. Nikson, why hujaachia hili kitu turuke nalo aisee!?

December ndy hii hili dude ungeliachia sasa

Clip never get old

Mh hii video unairudia sana kama mistari ya lunya asante

Hii kitaalamu tunaita kipaji kutoka serikali ya jamhuri ya muungano 😂😂😂😂😂😂

🙌🏾

Kali sana mzee 🙌

