Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Hii ata mimi nitajifunza 🙌
31,366 просмотров • 8 дней назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

It's Sope8 дней назад
Shida ni hiyo sindano, unaipataje, au unatengenezaje yenye dundu juu?

Wendoh Calistoh7 дней назад
Tafadhali, Sindano hiyo itapatikana wapi? Aje?

Atomic7 дней назад
Mkora uyo😂😂😂 Hataki mtu ata aguse io mat to confirm imeshonelewa kwa gunia

Rama Mobile Hub8 дней назад
Nzuri sana hiyo

Odhiss7 дней назад
Explanation yake iko fiti

Shizzi Papilo8 дней назад
Naam ujuzi 🙌🏾🔥

MK 7BEAT8 дней назад
Hii nataka nije nimfundishe mke wanangu nzuri sana

Life6 дней назад
Hii sindano nlinunuaga kitambo skuifanyia kaz itabid nkaisake sasa

Chazy Ahmed7 дней назад
hiyo sindano inapatikana wapi ndio issue

Mr.Eagle 🦅7 дней назад
Naamu vitu tunataka kuona

Guxtavraymond3 дней назад
Oya sindano napataje
