Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Hii haikubaliki kabisa ✍🏼

179,676 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 9

Фото профиля Che Guevara
Che Guevara3 лет назад

Hakika mwalimu amekosea kuchapa miguuni, angeadhibu makalio. Lakini tunapokemea walimu tukemee na idara zingine zinazofanya ukatili kama huu ikiwemo polisi wanaoua kabisa lakini husikii makemeo haya✍️

Фото профиля G3rd™⚖️
G3rd™⚖️3 лет назад

Bakora kwa Mtoto ni #Hakiyake, hata mie huwa nachapa Wanangu. Uchapaji aina hii si nzuri lakini pia hata sie tulichapwa sana unaingiza kichwa chini ya miguu,mikono inavuta kichwa kwa nyuma unakula stiki za kutosha. Ukijikuna tu umefuta ila Mitandao ina Nguvu ya kufuta ukatili huu

Фото профиля Baba Ivan
Baba Ivan3 лет назад

Naomba serikali imchukukie hatua kali, hiyo siyo adhabu bali ni unyama, huyo mtoto sizani kama ataweza kutembea.. 🤔

Фото профиля SEMA_KWELII
SEMA_KWELII3 лет назад

Acheni mambo yenu haikubaliki nini? Angali tumetoka huko tumechapwa bakora za kutosha harafu leo unajifanya kuumia. Lengo lenu watanzania mnapenda kusikia huyu mwalimu kasimamishwa au kufukuzwa kazi ndo furaha yenu, acheni kureta taharuki

Фото профиля dady17
dady173 лет назад

Dah! Nikikumbuka nlipo kuwa shule X pale mbeya o-level tulikua tukichapwa hivi nmelia sanaa ucku huu kwakifupi jaman huko shulen hasa baadhi ya private watoto wanapitia magumu na mazito sanaaMUNGU awatetee2 doh! 😭😭😭😭

Фото профиля MCHAKIZONE
MCHAKIZONE3 лет назад

Doh...mitandao bhana!!mbona zamani ilkuwa kawaida sana hizi fimbo!!! niliwahi zibuliwa na mwalimu wangu kdogo nikate moto,mpaka leo namshukuru kanisaidia kufika hapa nilipo,watoto wa cku hzi wanadekezwa mno,tujiulze kwanza alfanya kosa gan!!

Фото профиля Privatus Nantekolela
Privatus Nantekolela3 лет назад

Aliterecord sijui katumia sheria gani ya utumishi wa umma wote wana makosa aliyepiga na aliyerocord

Фото профиля kipipa
kipipa3 лет назад

Ndo maana unashangaa dogo anakataa shule, mara anadanganya anaumwa kumbe kule shuleni ndo maisha yanavyo enda

Фото профиля TINO
TINO3 лет назад

Kumchapa mwanafunzi kunasababishwa na ww mbinu zako kufeli na kupelekea kutokukuelewa, hivyo badili mbinu ya kumwelewesha ili akuelewe, uelewa wako wewe mwalimu ni tofauti kbsa na mwanafunzi, ni vile tu mihemuko yako unataka aelewe kwa haraka

Похожие видео