Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
HII HALI ISKIE TUUUH KWA WENGINE
51,476 Aufrufe • vor 2 Monaten •via X (Twitter)
18 Kommentare

Hapo ajenge ukaribu na wanawake wa kijijini watatu alafu kila mmoja ampe nyumba hapo awazalishe wote akitoka huko mjini anakuta mji ume endelezwa. Ndio maana ya kuitwa mwanaume unakuza ukoo.

Hii ndo sababu sipendi kwenda nyumbani…almost same story

Hii inasaidia nini kutuonyesha, unatusononesha tu,, maana hata na sisi tuna yetu, tukisimulia ya kwetu itakubidi uwe na Wi-Fi ya GB mia 9.

Basi boresha nyumba ya bibi alf uwe unafikia apo

Ndo maisha.tunaishi na tunaondoka 💔

Alf yeye yupo Yupo tuu ataki Kuongeza Ukooo

Hii hali ni ngumu sana huwezi amini

Inaumiza sana

Pole master unaongea ww ila unaumiza wengi sna

Uskiaje sasa kwa mwingine? We all gonna die someday… Ndio nature we must be prepared

Life.

Nimemkumbuka bibi yangu Tusyaghile bugali ahaa amenilea tangu mchanga alooo maisha haya

Hii inauma sana sanaa

Ndio Maisha Mkuu Tunaishi na Kuishia!

very sad story

Dah…

so sad 😭😭😭 den kuna mijitu inawaza kuumiza wengine as if watabaki kwenye huu mgongo wa Dunia...

Wengi mnasema aboreshe hapo rakini mkumbuke mtoto wakiume umamani ana urithi hizo nimali za umamani zinawenyewe
