Loading video...
Video Failed to Load
Hali si hali kwa jirani🤣
72,569 views • 1 year ago •via X (Twitter)
32 Comments

Yaani WaKenya kazi ni kuuma na kukatalia

Finyaaaa

😂

Jirani kaishiwa na paawa kwenye harakati la tendo

Kale kajamaa ka mdomo kuuubwa @AliKamwe cannot believe his eyes. Ati "sisi wabongo tunataka riro kundi ra kifoo"😂😂😂😂

Jirani akipigwa tumeshinda

Jirani jeuri kazimwa na Morocco 🤣🤣🤣

Jirani ambaye rais wake ni mama katili amebanduliwa.

😂😂😂😂we can't cry alone ooh...if Kenya is our Tanzania was bound to get out too

Jirani hajui mpira bana🤣🤣🤣

Pale kwa singo mother amejiskia kiumbe dhaifu

😂😂😂😂💔

Njilani

🤣

😅😂🤣 If they had won and we lost, wacha tu....

Watoto wa Suluhu ata hawakufika mwenye penalties

Cha msingi ni jirani ameenda nyumbani

Waziri wa michezo na anasa huko kwa jirani 🤣🤣💉

Wame ishiwa na PAWA 😂😂

I was sad but hii imefanya nicheke, never get old.

Jirani mdomo kabaki na kilio 🤣🤣🤣

Ni hujuma!!!! 🤣😂

Kweli jirani kaumia - hii hujuma hii 🤣🤣

😅😄😄

😂😂

"Naomba uniache, ni hujuma" 😂😂😂

😂 😂 😂

Ni hujuma, ni hujuma,,,sitaki sitaki 😂

Tunaumia sisi mashabiki🤣🤣🤦♂️

😂😂😂😂😂😂😂

@MwijakuBurton unahisi vipi kwa sasa

😂
