Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Hii hauijui ๐๐ค๐พ
86,915 Aufrufe โข vor 2 Jahren โขvia X (Twitter)
34 Kommentare

Itoshe kusema mwanaume inabidi asile kwa siku tatu kabla ya tendo ๐๐ฝ๐๐ฝ

Mpumbavu mmoja tu huyu๐ Anachanganya Digestion na Respriration Kinachohitaji oxygen ni Respiration inayotokea kwenye mitochondria of a cell Kinachotokea tumboni ni digestion Digest doesn't need oxygen aache ujinga

Sharubu kama wahindi wa kusini

Yaani usile Maharage baada ya kula harage

Nilisoma some where kuwa joto haibadilishi chemical composition ya chumvi, chumvi ni chumvi tu either Raw or cooked, huyu blaza anatupanga

Huyu jamaa ni muongo na tapeli ๐๐๐๐je anajua ukikimbia damu huwa inapunguza kwenda tumboni.. Sasa mapenzi na kukimbia tofauti si mkao tuu

Aisee hii nilikuwa sijui

Ukienda kwa Aisha usile maharage ๐

Sema hapo kwenye Chumvi ndipo pagumu sasa.....๐

๐๐watu wenye ndevu za hzi sio wa kuamini

Muongo bana kuchoma ndio nini? Gari ndio huwa inachoma mafuta unatoka Moshi. @jeyshuah em niambie kibaiolojia chakula huwa kinafanyweje tumboni? Damu inahusikaje? Pepsin & renin kazi zake nini?๐

Huyu ni Tapeli๐

Watu wanaoweka mustachi kama wahindi sio wa kuamini sana

Kijijini ukiona mbuzi dume hapandi jike , unamlisha chumvi. Halafu mtaalam wa mchongo anabeza chumvi?

Nachoshukuru hajataja ugali๐

@Anonymus_tz check vile wana wameruka na jamaa๐๐

Thanks

@meddymoody

๐๐ hapa kwenye maharage ameingiza watu chaka sana . Beans are digested in the large intestine by bacteria due to their complex carbohydrates ๐ huyu au basi

na ndevu zake kama steel wool๐๐

@eric_luda @Ezzy__Castro njoo msikie mambo huku ๐๐

Duuh kwaiyo tumboni Kuna combustion process na hatujui ๐๐

Kama unamfahamu, mshauri hizo mustachi anyoe,

Ngoja tupige nyagi tu.... โบ

Kiufupi mwanaume hutakiwi kula kabisa kwa muda wa siku 3 kabla ya kuzagamuana ili damu iache kuzunguuka mwilini yote iende kwenye kiingizio

Hiii biology ya wapi tena,tumboni kunahitajika O2 kwaajili ya kuchoma maharage?? Kiberiti kinatoka wapi

Aseme tu kuwa mwanaume haruhusiwi kula chochote kabla ya tendo la ndoa

Sasa usile chumvi kiaje an

Hamna kitu

Wanawake Sasa mnanikosa kabisa kumbe sodium ya kwenye chumvi inapunguza kutombana poleni sana

Hawa jamaaa bana mara tule tushibe maro ooo tusile maharagwe aahhhaaa kwendeni bana huko

@Johwizzy1

Daktari wa wapi huyu

CO nao wameanza kutoa mechanism ๐คฃ๐คฃ @kalegamyeh
รhnliche Videos
Nakuomba usikilize hii hotuba ya Gwajima kwa umakini ๐๐๐
Billy
25,483 Aufrufe โข vor 1 Monat
