Hii kweli kabisa π
@ZenjiboyZnz17K followers
48,036 views
83 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@MombasaEmir
Ukiukumbatia ukabila, hauna dawa wala kikomo
18 likes

@ZenjiboyZnz
Duh
2 likes

@MPictuss
Kariakoo si ya kijivunia. Mtu unajivuniaje kuimport vitu?
12 likes

@ZenjiboyZnz
Duh

@_kelvin2710
zina mchango mkubwa kariakoo, lakini kaangalie mikoa inayofanya vizuri kiuchumi haswa kwenye issue ya mapato yanayoongia serikalini
10 likes

@ZenjiboyZnz
Duh
1 like

@thisisevara
Sektaa Binafsii nakubaliana nae... Serikalini wa kawanza ni wahaya ππ
8 likes

@ZenjiboyZnz
Kumbe π
2 likes

@Samwelmaduhu3
kweli kabisa na hao waliotajwa hapo kumtoa mmoja aokoe familia kwao siyo shidaππ
6 likes

@ZenjiboyZnz
Sahihi π

@travisMushi
Ukishaona mtu anazungumzia "mzanzibar" au "Zanzibar" kwenye sentesi yake ujue ni chawa.
3 likes

@ZenjiboyZnz
Chuki?

@travisMushi
Kwa silimia 100%

@ZenjiboyZnz
Utakufa na chuki zako

@Chr74292Senator
ata wahindi wanakimbia
3 likes

@ZenjiboyZnz
Waarabu?

@OfficialMgosi
wasambaa wachaga wasukuma wahehe waha
3 likes

@ZenjiboyZnz
Sidhani
2 likes

@OfficialMgosi
unataka tuweke wapemba
1 like

@ZenjiboyZnz
Kumamako
1 like


























