Loading video...
Video Failed to Load
Hii imenifariji🙌🥺
88,565 views • 3 years ago •via X (Twitter)
10 Comments

Mi hadi nililia nilivyoiona, kuna clip mwishoni kaja kumpa 1m ya mtaji aisee! Ila kuna kitu nimegundua wanaume wanatembea na uchungu na machozi aisee, sometimes life inawatreat vibaya mno na hawana wa kumlalamikia! MUNGU awafanyie wepesi wanaume wote wanaopitia hali ngumu!🤍

Ni rahisi kuwa baba mzazi ila kuwa baba ni kazi

Acha kabsa

Kuna watu wanahitaji kusikia neno moja tu la faraja ili mioyo yao ipate amani, kundi la vijana walioacha kutumia madawa ya kulevya huku wakiendelea na dozi ya Methadone pale Muhimbili..tamani kukutana nao wale watu.,

Ile ya pili aloipost imenitoa chozi🥺

Me too🙌

Nimejitahid kuwanyamazisha had majiran kuskia kilichokupa faraja sister ila sisikiiii nimegandamiza had maskion ila sisikiii nimeskia tuuu nna watoto wawili ....utanipa namba ako

Huyu jamaa yupo real sana anaongea kwa hisia kuonyesha kwa kiasi gani anamkubali mtumishi wa mungu

Imekufariji na nini???

Hiyo Tshirt tu
