Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Sikuwa na hii code 🙌😂
78,944 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Huyu nae ameanza kuwa mjinga, yaani mpo wawili kakuachia simu huko kujisemesha unajisemesha peke yako? Mtu ambaye ana akili ya kukurekodi na yeye ni professor wa kuruka-ruka

Nimewahi acha simu kwenye meza ofisini ikiwa inarekodi, nikapretend naenda washroom, alooo! 🙌

Which side are you on? 🚀 Make HUDI great again ❤️ #HUDI #Crypto #1000x #dyor #NFA

Mambo ya Ngowi wa Vifaa vya Umeme pale Kariakoo hayo jichanganye tu 🤣🤣

Ina make sense.

😁📌

Mbn kama tutakamatwa sana

Kwhyo Oscar N Mtoto...

Hiyo nimeipata mwema, nitashukuru basi akiniachia ili iniongezeee credits maana nitamsifia sana😁😁😁😁😁

Daah tabia zangu hizi ingeniponza aseee shukrani osca

Haina shidaaaaa... Akiicha unampambaaaaa sanaaaa

