Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Hii ndio kauli ya Nchi. #NoReformsNoElection

44,143 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von WORDS OF WISDOM
WORDS OF WISDOMvor 1 Jahr

Kuna watu wanasema chadema imekufa😂😂😂👇 watu wanajua kujidanganya

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

take the journey

Profilbild von Khairat Harid
Khairat Haridvor 1 Jahr

cku chadema ikichukua dola ni sikukuu ya kitaifa no reform no election

Profilbild von Honolulu
Honoluluvor 1 Jahr

Hii kauli mbiu yenu inanivunjia ndoa, Ni mwezi sasa huduma sipati, mke wangu ananiambia No reform No service! Reform zenyewe anazotaka sijui nani mastermind wake 😂😂😂

Profilbild von KIDUKU
KIDUKUvor 1 Jahr

NO REFORM NO ELECTION 🔥🔥🔥

Profilbild von Kijogoo🐔
Kijogoo🐔vor 1 Jahr

Ma CCM yalizani kumkamata Lissu kutaua Harakati za No reform no Election hwakujua kuwa nje kuna mwamba yupo anapiga spana balaa

Profilbild von Adamdejah
Adamdejahvor 1 Jahr

Afu anatokea mjinga anakwambia chama kimekufa 🤣🤣🤣

Profilbild von Msifuni Bwana
Msifuni Bwanavor 1 Jahr

Yesu awatunze kwa ajili ya utukufu wa jina lake🤲🙏

Profilbild von Rashid Mugheiry
Rashid Mugheiryvor 1 Jahr

Heche wacha kujidanganya hakuna kauli ya nchi hio nikaula yako na genge lako mwisho wasiku kesho kutwa mnapigwa stop ndio mnapotea kabisa

Profilbild von ELIZABETH MAMBOSHO
ELIZABETH MAMBOSHOvor 1 Jahr

#NoReformsNoElection

Ähnliche Videos