Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Hii nyimbo ameimba nani?🤔🤔🤔🤔 Sad song😰😰!
11 Yorum

Yani boni yai angepiga na suruali nyekundu tu ungeweza kusema kibanda Cha M-PESA

love the elements in this song

😂

Wamepigika sana

😂😂😂😂😂 wameadhibiwa?

Mwalimu kwasasa kwakuwa uchaguzi umeshaisha tuache kuzodoana nafikiri ndio maana halisi ya kutibu majeraha

Kukurekebisha kiswahili tu, Ungeuliza,huu WIMBO ameuimba nani? na sio kama ulivyouliza. Hakuna kiswahili cha nyimbo hii,bali Wimbo huu au nyimbo hizi kama ni zaidi ya Wimbo mmoja.

I still cannot believe it...My heart nearly stopped nilivyo kuwa naona Bonny anavyo zikusanya na mlima una pile up. How did Lema play this so smartly I will never know😂😂😂

😀😀😀 wabongo bwana , hilo pozi la alfa na umega yelko 😀😀😀😀

Wajumbe ni watu hatari sana hawana huruma hat kidogo. Poleni wala rushwa hongereni wakunjangumu Leo umewaonesha kuwa chadema ni ya wakunjangumu.

@Rneynik 🤣😂🤣😂🤣😂
