Loading video...
Video Failed to Load
Hii sio sawa ❌
156,345 views • 2 years ago •via X (Twitter)
9 Comments

MZUNGU PORI💪2 years ago
Umeipost makusudi alafu unasema sio sawa, wakati kwako ni sawa

Utaganda2 years ago
😃😃😃 si ushabiki wa jadi mzee acha watu wafanye yao

Eddo2 years ago
Sawa ni ipiii

Zack chriss2 years ago
Ukisha kna mtu kanyoa pembeni kavaa na pensi basi

The mandevu2 years ago
Ujinga

FilmFrenzy 🎬2 years ago
Kweli kabisa wanafeli sanaa

Aniu Mtoi2 years ago
Watu hasa mashabiki wa Mpira masihara kama haya ni kawaida kabisa. Huyu ni content creator tu ila Kuna watu mitaani wamechoma jezi kabisa. Kila mtu anaonyesha emotions zake anavyojua.

Kabigwa_Afya💊2 years ago
Kwanini?

Uncle G2 years ago
Hiyo ni sawa kabisaaa

