Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Hii timu vichaa wanatengenezwa?
42,319 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Ukitaka kupima akili za watanzania utazijua kupitia kwenye hivi vitu viwili Mpira na Siasa

Would you like to join Chiitan in the Avengers?

Wachague referee wanaomtaka wao na watupangie kabisaa kikosi kitakachoanza..

kwenye mechi hii Arajiga kakosea wapi kwa simba. kwanza kawapendelea kinoma. Ngoma na Kagoma kuna mmoja angeondoka na Umeme hata ya njano hajawapa. goli la Mpunzu offside, goli la pili faulo ya mchongo hahahhahahah. hawa ni mazuzu kweli

Sasa Arajiga Jana kawabeba simba na bado wanalaumu au walitaka atoe redcard au awape penalty washinde?😂😂😂

Hawa sasa ndo wale mashabiki wa simba na yanga na si mashabiki wa mpira, refa jana kajitahidi sana kwa upande wake, makosa ya wachezaji ndo yamezua ile sare, labda kama tulitaka kupewa penati za bure

Makolo akili huwa hawana sijui

Kumsaidia asimpige refa inabidi akakae Oysterbay huyu kuanzia leo mpka tar 15 March

Vichaa wanajulikana tuhh!..

Asilimia 98 ya makolo ni vichaa😀😀

masabiki wa simba wana mihemuko sanaaa
