正在加载视频...
视频加载失败
Hili limeniumiza Sana! 🤣🤣
196,053 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

Jina Litakuja.....1 年前
Huyu anaita baby, kule anaita Asha. Hawa tunawapa hadi mwezi wa nne

Adonis_254🇰🇪1 年前
"Ela ya Saluni " bruh 🤣🤣

Jeo1 年前
Mimi hii michezo hapana,ukirudi lazima ulipie hela yangu ya saloon.

Solar Heavy1 年前
- Promises

Emanuel Azul1 年前
Kumbe kuna vitunguu, ni buku tu...mwamba anajua code.

Man himself1 年前
Jamaa kakosa utelezi dakik za jion

⚒️Thor Ragnarok⚒️1 年前
Maigizo hata hawajui🤦

Newtonian Field!1 年前
Wakamaria bwanaaaa,heeee

Jeany1 年前
Kumbe! Ni wewe 😂😂😂

pixel world 🦅1 年前
Mhhh betting Hadi kwa ndoaa😂😂🙌

D' Artagnan1 年前
😂😂😂😂
