正在加载视频...
视频加载失败
Hotuba ile ya mlimani
35,796 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Soombe Mollel3 年前
Brother I real appreciate what you're doing ,naamini umempata mwalimu sahahihi ,Prof lumumba

Kingdom_Man3 年前
Kweli chuma hunoa chuma. Unaongea kama Lumumba mzee?!

Eng ,Samwel Sumari3 年前
@NkumbiJoram leta speech yote Mzee “PLO mdogo “

Salum Sayyid3 年前
Nakuona mbali xn siku za mbele kwenye maswala ya uongozi

NYATA 🛠3 年前
Iv una account YouTube?

Advisor3 年前
Naomba hotuba nzima mkuu

🍁(wilferweed)🚬3 年前
Translate mlumbi😥😅

Bruno Ntukey3 年前
Ulumbi kila pahala .

MSUASO.3 年前
Kweli urumbi kila pahala, kwa makadara yake Mola tutaonana siku moja.

twaifu saidi3 年前
Broo napenda uwe uwe kiigizo chemaa wangu Ila story yako ya maisha naitafuta siipati nkiitaka naipataje

