Loading video...
Video Failed to Load
huko Ndani hapakaliki
20,235 views • 2 months ago •via X (Twitter)
28 Comments

Nyie endeleeni na drama zenu! Hatuna muda na waliojipachika madarakani 🚮 Sisi huku tumetimiza miezi 9 #MO29 toka maelfu ya waTanganyika wenzetu kuuawa kikatili, kisa madaraka. RIP our fallen heroes 🙏 .Tunasema #FreeTunduLissu. Tunasema #FreeAllTanzanianPoliticalPrisoners. 💪

Video ya zamani

Old clip

Huyu kuma nae kujiona anajua kila kitu ye mwenyewe hajui nan atakuwa raisi 2030 iwe anayejipanga au ambaye hajipangi kama vile mlivokuwa mnawaza jiwe atakuwa Raisi milele na Mungu akawaonesha utukufu wake ni vile vile Iwe Ima iwe nan anaweza akawa Raisi usituletee ngonjera

mwenyewe makonda shetanii mkuu wa nchii hii

Shut up makonda

Huyu ni muuwaji

Ndani ya ccm kunakalika vizuri tu. This is CCM watu wenye roho mbaya even Hitler hagusi level zao, hizi zote ni movie ili kukamata akili za watu wajinga( gullible idiots). CCM wote ni takataka 🚮, they move like a HIVE mind. Wanajua wanachokifanya. Maku wote hao 🚮🚮🚮

Kwani tayari tushafika 2030? 🙄🙄🙄🙄omg jamani ni mimi Ndio bado nipo 2026? Au? Makonda hufiki 2030 my dear ! Wewe sio Mungu tena usimdharau Mungu mbona unajiamlia mambo?

Save this tweet please for future use

@kilepi_tweve Democracy ni mavi kweli Lol

Kweli hi safari itakuwa ndefu bila Mungu na Mungu ni fundi wa kila jambo

Michezo kama michezo mingine, ni sawa na timu inayojigawa wakati mazoezi tu lakini lengo ni lile lile moja tu kwa timu nzima...

Time will tell

Sijui lini tutawazaga maendeleo ya kweli kama nchi yaani nijuzi tu watu wameingia madarakani Tena keanjia wanayoijua wao,hata hawajakaa vizuri tayari wanaanza kupambania 2030 🤔

Kimejisahau chenyewe kuwa kinajiandaa kuwa kishetani

Hata yy ni Shetani hawezi kuwa malaika

Futuhi

Hii kauli ya makonda hajatamu hivi karibuni ni ya zamani sana tu labda ugeni wako kwenye kauli hizo

Movie

Uongo mtupu. Hii video ya zamani sana. Mahali, Arusha.

Wasenge hao wanatuchezea tushawasoma na tumeatick to the point 😎

Kwani Hicho Kikundi Chao Hakina Utaratibu Wa Kuzungumza Huyu Sasa ANAONGEA KAMA NANI

Maigizo kaka siasa mchezo mchezo mchafu

Wapi katajwa mngoni hapo?

I thought the elections are on 2030? So what is this..??

Hii clip ya Makonda sio ya leo mna miss inform Umma

Makonda ni wakunyongwa hadi kufa kwa mambo ambayo kafanya
