Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Huu ni Ukweli au ni uchochezi??😂

50,466 views • 1 year ago •via X (Twitter)

11 Comments

@mtanganyika's profile picture
@mtanganyika1 year ago

Yosefu baada ya baba yake yakobo kuzeeka,alimchukua na kumpatia malazi,chakula matibabu. Mwanzo 45,9-11 Ruthu aliamia nchi ya mama mkwe wake akafanya kazi kwa bidii ili amtunze, Ruthu1: 1-16 Yesu kabla ya kifo chake alichagua mtu ambae angemtunza mama yake yohana 19:26,27.

Mtanzania's profile picture
Mtanzania1 year ago

Mpumbavu utamjua tu, maandiko yanawatambua wazazi kama mungu wa duniani na wamewekwa rasmi kwenye amri 10 za Mungu. Wapumbavu kama hawa hawakuanza leo tangu miaka hiyo

@mtanganyika's profile picture
@mtanganyika1 year ago

Anafundisha waumini wasitunze wazazi wao! Wakati huo yeye anaimiza waumini wake watoe sadaka,fungu la kumi,michango na malimbuko!! Kweli kalaghabao na ubozi wako!!

Rock Paper Sizzle's profile picture
Rock Paper Sizzle2 years ago

🇺🇸 One Nation, under Trump, Stronger THAN EVER. Are you Trump Tough? 💪Tough T's Here:

Vitalis Fusi's profile picture
Vitalis Fusi1 year ago

Kuna kitu kinaitwa KARMA, this guy should stay woke. Kwa maisha ya waliowengi mlo wa leo ni majaaliwa vipi kuhusu kesho ya uzeeni? Kama yeye yupo kwenye right path as his parents was, asitutukanie wazazi wetu. They've sacrificed a lot for us and it's not a curse to embrace them.

MWANASHERIA's profile picture
MWANASHERIA1 year ago

Sisi atuwatunzi wazazi wetu ila tunawapatia sehemu ya mafannikio yetu maana wanastairi baada ya jitihada zao. Wao walipanda kwetu hawakuwekeza kwenye majumba na maduka katika uwezo wao.

◇'s profile picture
◇1 year ago

Yaani uache kumsikiliza Makamu wa Rais halafu usikilize hiyo takataka kweli?!

msakhara's profile picture
msakhara1 year ago

Mit 13:22 "Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki" Tutofautishe kuzaa na kulea binadamu na ufugaji wa binadamu. Yaani unalea mtoto ili akikua akusaidie, huo ni ufugaji. Lea yeye ajipate bila kupoteza uwezo wako kujitegemea..

Msuku's profile picture
Msuku1 year ago

Hamna mchungaji hapa, Hata kama sikusoma Elimu ya dini chuoni(Theology). Ila humu hamna mchungaji.

zanzibar used's profile picture
zanzibar used1 year ago

ukristo bwana ni mtihani

◇'s profile picture
◇1 year ago

Huyo jamaa yeye ameona hawezi kutunza wazazi wake anatuletea ujinga wake na sisi ili tumfate!! Hatudanganyiki

Related Videos