Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Huu ni useng* 🚮🚮🚮🚮
150,624 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 9

Mbona waandamaji hao wanasema wanataka HAKI ZAO kwanini unampiga mtu anayedai haki yake Huu ndio upumbavu kabisa

Kikubwa wa natakiwa wafahamu kuwa hakuna utawala duniani uliokabiliana na nguvu ya umma ikabaki madarakani .

Ni kweli

Itoshe kusema huu muungano uchwara inabidi uvunjwe tu

Serikali ya CCM haina tofauti na Serikali ya Wakoloni aise. Imagine badala ya kutatua tatizo wao wanakuja na vitisho? Kuandamana ni haki ya raia. Wasitutishe.

Kumbe hii nchi haiongozwi na raisi Bali hawa waliopata 0 na DV 4? Tulichelewa sana kuwadhibiti hawa wajinga. Tukaitake haki yetu 23

Usenge mwingi sana na huyo mama yao kakaa hapoo kuangali ujinga

Ni kwa nini waandaji wa tukio hawajawaambia waigizaji wa maandamano kutumia maneno ya ushari badala ya TUNATAKA HAKI YETU???? Au mimi ndiye sielewi

Wanawatisha watu
