Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Huu ni wivu grade ya ngapi?😂🙆🏾♂️
21,316 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

chuga girl❣️1 год назад
Waongo hamna kitu apo

Rock Paper Sizzle1 год назад
💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Masaka Junior1 год назад
Kwani vina muda basi kaka

Realbaraka1 год назад
Kama hata kwenye biashara anafanya hivo basi mwanamke hajielewi na anataka jamaa awe omba omba

Binamu1 год назад
Ndo maana wanasema mapenzi ni kwaajili ya wajinga

Eng Jubel1 год назад
Huu ni ujinga

Northern Thugg1 год назад
Duuh wivu ukizidi jamu so penzi Hilo ni gereza Kila Chocho upo na askari nyuma😁🤔

kamdudu1 год назад
huyu hajiamini na utoto unamsumbua acha apigwe matukio atakubali tu mziki

Kibegi 261 год назад
Uyo mchizi katulia kam kamwagiwa maji sio bure kunakityu kinaendelea😂😂😂😂😂

phily mwa1 год назад
Taifa la vijana wa hovyo

Benedict1 год назад
Hapa ni grade A

