Video yรผkleniyor...
Video Yรผklenemedi
Huu wimbo marlaw aliimba ๐๐ฟ
28,791 gรถrรผntรผleme โข 1 yฤฑl รถnce โขvia X (Twitter)
11 Yorum

Film Fanatic Zone ๐ฌ1 yฤฑl รถnce
When music was Soo good to the soul.

๐๐๐๐๐๐๐๐1 yฤฑl รถnce
Ukisikiliza hupati hata tusi moja

Solar Heavy1 yฤฑl รถnce
- We're Flying

Mpale Mpoki1 yฤฑl รถnce
Nostalgic, melodious, soulful, and powerful

Banza Media1 yฤฑl รถnce
Kitambo Alikuwa Mnoma ila Muziki wake akuna ulicho mpa

๐๐๐๐๐๐๐๐1 yฤฑl รถnce
Wasanii wa zamani waliwekeza kwenye starehe

Coding_tech1 yฤฑl รถnce
Wasanii wa zamani wengi baada ya kuoa majukumu mengi alaf kipind hiko hakuna hizi platform ambazo zingeweza kuwapa pesa nyingi hata hivo walikuwa ni watu wenye kuridhika na wanajipumzisha tu jamaa Yuko zake kigamboni kama sikosei na mpk now anajua kuimba ila aliamukupumzika

Northern Thugg1 yฤฑl รถnce
Huyu Jamaa alikuwa talented san

๐๐๐๐๐๐๐๐1 yฤฑl รถnce
Wasanii wa zamani walikuwa wana tallent

Benedict1 yฤฑl รถnce
Kwa kweli

๐๐๐๐๐๐๐๐1 yฤฑl รถnce
Wimbo una hisia fulani ivi
