30 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@BoyOneten89
Unaitwa kafungasha hadi kafungasha Tena. 🤣🤣🤣
5 likes

@YaziduAlly
Limekatiza lishangazi limoja hilo sio poa heavy weight
5 likes

@hancymachemba
Mchizi hapo mbele amejikaza sana kama hajaona kitu😂😂😂
3 likes

@Jofreymwile3
shida sio wimbo uyo aliyeenda uyo mbele kaharibu mambo
2 likes

@jordanmwinukatz
😂😂😂
2 likes

@NyisaryaSalim
Mwimbaji kasahau wimbo kakoleza na yeyeyeeeeee
1 like

@tenendemartial
Joti unakatwa na wachawi
1 like

@humphreymoses64
Unaitwa uvccm mama anaupiga mwingi. Ashukuliwe mama tumeamka salama, ashukuliwe samia
1 like

@mchizikali
Kisha Shetani Akainuka, Akaenda Kuangaza. 😂
1 like

@FrancisMhiche
Aliyeshirikishwa ndo kaua hii nyimbo
1 like

@Kayange42429521
Sijui anatokea wapi

@IMkangumbe
😅😅😂

@PardonTz
😂

@debralinda
🤣😂

@nyangofu
Malegend tumesha kung'amua kwamba swali lako lililenga hiyo figure 8, waswahili tunsajuana😆😆

@Fenandezmavamb0
😂😂😂😂😂😂Ukapimwe mkojo!

@MateeGodlisten1
😹😹😀

@King_msangu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Biti lake gumu sana huu wimbo

@godlivingmoshi8
We jamaa fala sana

@KinaraBonateli
Huyu alienda kumkomesha mtu tu 😅









