Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Ila Watu wa hii nchi.๐๐
123,953 Aufrufe โข vor 1 Jahr โขvia X (Twitter)
11 Kommentare

Huwezi amini muhuni ni rahisi kuingia mbinguni kuliko tajiri

@kabigwa_78 Asee Hili goma ni kali kinoma unakula zako jogging au home workout ni unyama sana rythim na vibe la mazoez ni kubwa mno๐ช

Tag someone! ๐๐ฏ Check out our shop here >>

Vibe kama hiloโฆujichanganye kuingia na simu au wallet. Utajua Hujui ๐๐

ule mwenge nina hakika una kitu ndani yake mamae siyo kwa akili za watu wa hii nchi

WANAUME โโWANAUME โ huyo demu sio special Umempandisha sana matawi.. Wewe tu ni mpweke .. Huna chaguzi zingine Mpe nafasi ndogo kwenye maisha Yako Vaa vizuri pendeza Nukia vizuri broo Alafu nifollow nikupe mbinu za yeye kukungangania

Sema singeli ingekaziwa ipasavyo ni mziki mkubwa sanaa ungefika mbali sanaa Hahaha picha linaanza dj ana double kick pembeni ๐คฃ๐คฃ๐คฃ

Picha linaanza Dj ana Double Kick yake na Mo Energy saaafi

Dj ana double kick na energy ๐ ๐

๐คฃ๐คฃ๐คฃVijana jau sana maanina zao

Ma braza they looks so happy and no stress probably kuliko mwanangu @Kasak0va_ ๐ฅฒ๐ ๐
