Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Huyu Dada Atakua sawa kweli?
99,906 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Picha mbao A4 10,000/= A3 18,000/= A2 50,000/= A1 85,000/= DM au Whatsup 0769063447 Sinza Kumekucha 📍

Hizo tattoo kama gari ya mashindano anakuaje sawa.

Kingereza kirahisi sana aisee kumbe kupangisha ndo wanasema kurentisha alooh mlete watoto sasa nifundishe

Didn't you see Chiitan's precious bell?

Kwa unavyomuona apo yupo sawa ila ungemuona wayback alikuwa hayuko sawa

Vaeni condom jamani vaeni condom

Anaendelea ku Recover Alikua addicted sana na Dona.

Hakuna watu wako na solo life + highly depressed kama Hawa wenye tattoo kibao mwilini mwao, mara nyingi hzo tattoos wamechora either Kwa kufuata mikumbo au matukio flan wameyapitia na yamewapush wao kuchora tattoos kiasi hicho💯

Yupo kwenye recovery

Alikua anaumwa nini

Yupo normal Nyie jamaa mnajua dawa kweliiiiii Dawa ni kisanga huyu labda bangi na umarekani mwingi kwamba ni haki yake kujiremba hatakiwi mtu kumuingilia

