Sensitive content

This media may contain sensitive content.

Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Huyu demu ni TAPELI😁😁👇🏾

78,229 views • 1 year ago •via X (Twitter)

9 Comments

SANKARA's profile picture
SANKARA1 year ago

Kudadeki niliwahi kuagizwa mahindi mnadani nikakutana na hawa jamaa nikasema ngoja nizizalishe....kilichonikuta ilibidi nitoreke nyumbn na safari yangu ya kutafuta maisha ikaanzia hapo

City Hunter's profile picture
City Hunter1 year ago

Wala sio tapeli ni mmoja wao lkn pia hivo vyote vina chakundu, ila vina sehemu mbuli za kufunguka kwenye chekundu na kusiko na chekundu so mchezeshaji anaamua ti afungue wapi

FREE MIND's profile picture
FREE MIND1 year ago

Huyo Ni mwenzao

TheGame's profile picture
TheGame1 year ago

Hivyo vinafunguka pande zote,km hapo vikifunguliwa kutoka kulia vina line na vikifunguliwa kutokea kushoto havina line and vice versa,,na huyo anaekula ni mwenzao.

13th's profile picture
13th1 year ago

Nilikutana nao hao jamaa Chimala Mbeya kwenye mnada. Wakat naenda kufanya manunuzi nikasikia HII HAPA HII double pesa yako.. Aiseee ziliisha zote

Jako Builders's profile picture
Jako Builders1 year ago

Mimi niliwah agizwa Madiaba na bibi angu 28k nikatapeliwa😁

PEBBY's profile picture
PEBBY1 year ago

Hapo wapo wengi tuu, hicho kidude cha ushindi huwa kina funuka pande 2. Pande ya ushindi na pande nyingine ya kukosa. Mwenzao akichagua icho kidude cha ushindi wanafunua side ya ushindi ila wewe ng’ombe ukichagua hicho kidude cha ushindi wanakufunulia sehemu ya kukosa

Gomez's profile picture
Gomez1 year ago

Mi ndio nachezesha hizi michezo🤣

Johnson Swai's profile picture
Johnson Swai1 year ago

😂😂

Related Videos