Loading video...
Video Failed to Load
Huyu jamaa ni nani 🤣🤣🤣
10 Comments

Bob1 year ago
Part 2

M.a.n.a.n.a 🗽1 year ago
Huyu ndugu yake bakari sonde anaitwa shillah anajiita shilla star mitandaoni

Mike ~G1 year ago
Shilla Star anaitwa jamaa ni miyeyusho sana ila anatalent ya kusimulia niliingia town Instagram nikakutana nae ndo mitaa yake ya kujidai kulee... Sema jamaa ni mnoma sana 😂😂🙌🙌

Bob1 year ago
Naweza kusanya kijiji

M.a.n.a.n.a 🗽1 year ago
Sema huyu msenge anakuwaga muongo 😂😂🖐

Bob1 year ago
Anatusokota sana

Shaffih Dauda1 year ago
Namtafuta uyu mwamba....

Francis Mawere1 year ago
Huyu mtoto muongo muongo Ile mbaya. Anaitwa @shilastar1 🤣

Bob1 year ago
@shilastar1 🤣🤣🤣🙆🏿♂️

Jasam Kileo1 year ago
napatikana pande zakawe ndio yule ambae unamsikiaga e fm kipindi cha akina samio lve na fido usiku kwenye simulizi za akina mkoi
Related Videos
Huyu jamaa 🤣🤣🤣🤣 Amemkataa mzungu na mwarabu kwa madai yake
Pancras Flahisha
11,813 views • 13 days ago
