Sensitive content

This media may contain sensitive content.

正在加载视频...

视频加载失败

Huyu kiboko kabisa 🙌🤣🤣

200,151 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

mzururajonpoint 的头像
mzururajonpoint1 年前

Hii ni send off mwanaume ameenda kiume sio nyie wengine mpake mekup mvae skuna hekaheka kibao kama mnaolewa nyie ptuuuuu

Wamuhira 的头像
Wamuhira1 年前

Msela atakuwa ana hela sana ndo maana hawajasema neno😂😂😂😂

Nicki Massawe 的头像
Nicki Massawe1 年前

Mbona kama Bwana harusi na huyo Body guard wake ni Hop hop sana dadeki😂

Yes_me 🎱 的头像
Yes_me 🎱1 年前

😂😂 amekurupuliwa alikuwa zake maskani, akapigiwa simu upo wapi?! 🏃🏽‍♀️‍➡️🏃🏽‍♀️‍➡️ akachukuwa boda chap mpka ukumbini

Khadija Lukinga 的头像
Khadija Lukinga1 年前

Hiyo inaitwa twende tumridhishe

Daktari Wa Manesi 💉💊 的头像
Daktari Wa Manesi 💉💊1 年前

Hadi Shisha Sio dada wa tabata kweli? 😃

UMMMA 的头像
UMMMA1 年前

Na shisha happ mbele, hii dunia kuna watu halafu kuna viunbe spesheli

Joseph Edward Silayo 的头像
Joseph Edward Silayo1 年前

Wait...hapo mezani hiyo nyingine ni lile dude la shisha au naona mawenge🤔

Genious✍️ 的头像
Genious✍️1 年前

HIPAPU. OG. kabisa Hii hapa. 🔥🔥🔥🔥

Kamamaa 的头像
Kamamaa1 年前

Hii ni kitu gani?

Shamy 的头像
Shamy1 年前

Sendoff 😂😂

相关视频