Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Huyu ndiye nabii aliyebaki

94,578 görüntüleme • 3 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

Mmbetta Jr profil fotoğrafı
Mmbetta Jr3 yıl önce

Fikiria huyu ni Rais anaeongoza watanzania zaidi ya mil.61 mwenye fikra za aina hii🤔🤔

Allen swai,CO 🇹🇿 profil fotoğrafı
Allen swai,CO 🇹🇿3 yıl önce

@godbless_lema yuko mbele ya muda,inahitaji tu akili timamu kuona ivi vitu kabla ya muda. Ni vile tu watu wanajizima data kisa itikadi na maokoto/teuzi bas

wodroff profil fotoğrafı
wodroff3 yıl önce

Kipindi icho vipindi vya bunge havinipiti najua jana kilikuwa maswali na majibu leo bajeti ya wizara kesho bajeti ya wizara kivuli... life has changed alot sijui ata majina ya wabunge, majimbo watokayo wala ratiba ya bunge

Raphael Lubukilo profil fotoğrafı
Raphael Lubukilo3 yıl önce

The truth was aired well,few of us knew what did it mean,it is clear that now if anyone of us listens him now will come into the truth that what was said now is happening Ndugai said it also before resigned "Truth lives" Now it's a story to tell once upon the time there was a man

Samir khan profil fotoğrafı
Samir khan3 yıl önce

Unaweza adi kulia yan ilaaa ccm wanatukosea sanaaa

mdonyolengai profil fotoğrafı
mdonyolengai3 yıl önce

Chadema wote njaa tu nchi hamna mpinzani Wa kweli....

VICTOR HERMAN profil fotoğrafı
VICTOR HERMAN3 yıl önce

Ninaimani kubwa mwamba atarudi tena Bungeni #katibampyanisasa

Omyii profil fotoğrafı
Omyii3 yıl önce

Hii mashine ingine Akili kubwa Hana uchawa yaani yy unakula za uso...CHADEMA Ni next level

Alex Mauro chengula profil fotoğrafı
Alex Mauro chengula3 yıl önce

Hiki ni chuma kwl kwel

Mr David. East Africa profil fotoğrafı
Mr David. East Africa3 yıl önce

Hivi inawezekanaje Arusha hakuna stand mpya ya mabasi?

Benzer Videolar