Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Huyu ndio Juma Magoma✍️
110,703 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)
9 Kommentare

Jamaa inaoneka ana watu nyuma Jeuri hii anaitoa wapi?

MAGOMA anasema yeye hajamshitaki Eng Hersi,Bali yeye kashitaki Wadhamini na Ile katiba mpya ya club ambayo wao kama wanachama hawaijui.Anasema Eng Hersi ni mwenyekiti pia ni raisi wa club kitu ambacho sio sawa,Pia anasema mahakamani hakuna jina la Hersi Bali Wadhamin.Oyaaa 🤣🤣

Uyu ndio Mshambuliaji sasa tunae mjua sio uyu Mshambuliaji wa skuiz Chawa 🤣

Kumbe anachotaka aonekane aonekane ana umuhimu tu inamaana na yeye anatak uongozi

Mwanetu upo BIASED SANAA! Sawa linda interest zako mkuu😂

Kitenge voice🎤Magoma ni linii utaaachaaa chokochokoo zako ndaniii ya club ya yangaa mbn kila mwaka ni wewe tuuu magomaaa unashidaa ganii wew magomaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

Kitenge hapo umeuliza maswali kama Shabiki na sio kama mwandishi mkuu 😂😂😂

We nae boyatu, kwanini usimuache aongee tujalbu kumuelewa mantic yake angalau

Yani wewe weledi wako ni mdogo sana unampigia mtu simu ili umuhoji anaongea wewe unapiga makelele kama punguani

