正在加载视频...
视频加载失败
Huyu ndio Malkia sasa
12,684 次观看 • 1 个月前 •via X (Twitter)
12 条评论

Nature’s Keeper1 个月前
Uliza analipa wafanyakazi wake ngapi, ikizidi 300,000 mpe umalikia

mwaka1 个月前
Baadhi ya Nchi mwekezaji kama huyu anatakiwa apewe ruzuku ya serikali ili kumfanya awe na nguvu zaidi mpaka afanye export.Biashara yake ina effects kubwa sana kwa jamii ya huko.

Mpwa_OG 🇩🇪1 个月前
Wampe iyo tuzo

CAPTAIN ZAWADI1 个月前
Sio kweli kmmmk , anayajamba au mamae atakama anayajamba sio hivyo kmmmk Wewe muige alafu uone kmmmk

S.A.N.T.I.A.G.O 🗽1 个月前
Hii sasa ni shule ya kuku

Dr Mwakalebela1 个月前
Kabisa

Mene Mene Digital1 个月前
Nimeona hili shamba nimemkumbuka Mr. Kuku, angeachwa bila misukosuko basi Dar kuku ingeuzwa cheap

Dr Mwakalebela1 个月前
Jamaa alidondoka kisa nn

Dr michael.1 个月前
Huyu mtu saana

J1 个月前
Vipi soko lake?

Luhamba II1 个月前
Sio yule wa kuuza mchicha?

erephato1 个月前
Kuna anaezalisha tray 7000 kwa siku mkuranga
