正在加载视频...

视频加载失败

173,731 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

@mtanganyika 的头像
@mtanganyika2 年前

@MdemuPolycarp Dah! Ukipeleka sample veta! Hawawezi kutoa mashine kama hii?

Kanani Nkuli 的头像
Kanani Nkuli2 年前

@MdemuPolycarp Ninazo hizi anaehitaji anicheki nimuuzie asagie unga nyumbani au asagie majirani wampe hela

Jerix 🇰🇪 的头像
Jerix 🇰🇪2 年前

@jErix_aS_JerRiE

Mshale 的头像
Mshale2 年前

@MdemuPolycarp polepole naona soko la mashine ya kusaga na kukoboa linashuka sasa vuta picha unacho haka nyumbani si unakuwa unajisagia tu huna haja ya kwenda mashineni🤓🤓

Dclan 的头像
Dclan2 年前

@MdemuPolycarp Aisee hii kiboko..

noise maker 的头像
noise maker2 年前

@MdemuPolycarp Daah mbona balaaa hawa jamaa

𝔹𝕒𝕣𝕒𝕜𝕒 🇹🇿 的头像
𝔹𝕒𝕣𝕒𝕜𝕒 🇹🇿2 年前

@MdemuPolycarp Na bei zao unakuta za kawaida kabsa hawa wana.

PaYRoLL🪙 的头像
PaYRoLL🪙2 年前

@MdemuPolycarp Hiki unaiba kabisa unakimbia nacho😅 portable 🙌🏾

Fabiano 的头像
Fabiano2 年前

@MdemuPolycarp Naipataje hii mkuu.

Donny Mbaga 的头像
Donny Mbaga2 年前

@MdemuPolycarp aiyaaa! ngoja nikaicheki hii.