10 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@nyirendamimi
Ama Ikuwe?
1 like

@Baradhuli2
Alafu iweje?
1 like

@dang4109
huyu wahuni wamnyoshe kwanza awe mfano kwa wapuuzi wengine wote
1 like

@_zack255
Nuru vuzi hujajifungua bado?
1 like

@TanzaniaAnalyst
Nuru vazi unaongea sana, tangu uanze harakati zako dhidi ya serikali, kitu gani tangible umefanikiwa that you can point..
1 like

@i_am_uziel
Mama Gwajima azungumze na mtu wake, huyu mahitaji yake maalum yanamtuma vibaya.

@ManLikeFrey
Ana uhuru wa kutoa maoni

@SaidiJumaa10
Baada ya hapo itoshe kusema hauna akili

@MbagaJoe
mwaipopo ni pepo jini, Mwenyezi Mungu atashughurika nae soon

@CarlosGome67267
Tumewachoka watu kama nyie ndo mnae chonjea mahakama zishindwe kufanya kazi yake. Rudi Tiktok, wala sikukubali Mzee
