Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Huyu tutamvisha dera kikao kijacho. 😎
12,701 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 25

Desturi ya Simba huwa akitaka kuoa single mother huwa anaua watoto wake wote ili aweze kuanzisha uzao wake mwenyewe. Nimetumia mfano wa mnyama mwenye sifa kubwa wa porini ili ujue umuhimu wa kuwa na uzao wako! Kwa kijana jitahidi kuepuka, anzisha uzao wako mwenyewe na mtu wako!

whoa thats crazy but have you heard this?

Kweli bro single ila uyo single maza asizid mtoto 1

Kalipwa shingapi kusambaza hizi propaganda?

Huyu ni mpumbavu kabisa

Huyu jamaa anatumia nguvu nyingi sana kutushawishi😂😂. Hofu ya Mungu aliikosa wakati anabena mimba..akaipate wakati wa kuzaa?

Huyu jamaaa amedata

Anataka alelewe watoto wake huyub

Kashapewa kitita Cha afu tatu huyu

Mpuuzii huyu 🚮🚮

Uko sawa nakubaliana na wewe kwa nini wasiolewe kwani unaepinga we ndio wa kwanza kumtelekeza huyo single mother

Huyu tapeli tuu single mother anakuaje na hofu ya Mungu. One man down APA🚮

Uyu vikao uwahafikii kabsaa.

@mjegeje001 pita nayoo hiii

Anawajaza Kwenye mfumo

Kama yeye aliteleza akaoa single mom asitushawishi na sisi wengine kufuata njia ya makosa yake.

Wanaume wenye mindevu na upara wengi wao huwa ni chenga sana, kichwani hamna kitu kabisa🚮

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kila Mtu Asinde Mechi Zake

SINGO MAZA anatetewa kimkakati hapa...

Huyu hana anachokijua Kwan anafikili kuzaa ndo mwanamke kuwa Hajawahi toa mimba . & kama n innocent Y aachana na mzazi mwenzie

Huyu amesha okota pesa za single mothers tayari

Huyu msenge sanaa

Hyu hata kwenye kikao asikanyage kabsa ni mla mate bule mamaeee😁😁😁

Hapo ndo linapokuja suala la bikra kutoka wa bikra boys

Fala wew
