Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Amekuaje huyu????
51,897 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
33 Yorum

Hii aliongea zamani. Na hii ni moja ya reli wasenge na makumar kama wewe mnapush ili kuzima hoja ya maandamano. BTW maandamano ya 29 October siyo ya Chama na hayaratibiwi na Chama. Ni mali ya wananchi. Kwahiyo we qumar acha kupotosha kwa kujifanya unashangaa.

Wanaitumia hii kama mbinu yakuharibu maandamano 29Oktoba2025. WEMBE NI ULEULE 29OKTOBA TUNATOKA

Yani unaona kabisa wanajikana nafsi zao! Kwani hao wanaosem tukapige kura mbona ikulu hatuendi nao?

Asilimia 99.04%😂😂😂🫵🏿

Hujui kwamba waliwekwaga under arrest? Hayo ndiyo masharti yakuepuka kukutwa kwenye viroba. We waelewe tu na huna haja kuendelea kusambaza. Otherwise, utuambie nawewe ni mmoja wao ila umepost kusikilizia!

Nafikiri ni upumbavu zaidi kuridhika na hali halisi ya maisha iliyopo nchini! Na pia maandamano yaliyoanzishwa sasa hayana chama, hata ukiangalia spaces nyingi ni wananchi wenyewe wenye uchungu na nchi yao waliowiwa kufanya hivo! Hakuna suti inayoitisha maandamano

Kwani kama mambo hayaendi na kila anayesema hasikilizwi kuna nini kinabakia zaidi ya maandamano? Changamoto za wananchi zitatuliwe na maandamano yatakoma. Vinginevyo pona ya wananchi na hasara ya wanasiasa ni maandamano tuu.

Hii clip ya zamani MBOWE akiwa mwenyekiti,kijani wanaitumia kama silaha ya kuupoza umma wa WATANZANIA.

Anarudisha legacy kwa serikali😂 anatafuta huruma ya katika kesi

Amepewa kesi. Amekatwa ulimi.

Hiyo siyo ya leo wala jana hayo niya muda mrefu kabla hawaja kamatwa

kaongea fact,..kuandaman sio kosa ila siku hiyo watoto wao pia wawe road na sisi..ili tukipigwa tupigwe wote

Tutaandamana tu. Tushavuka vi propaganda uchwara.

Ogopa Mjinga mwenye confidence

Bila kujali ni video ya lini. Ila alicho ongea ni upumbavu mtupu

Sikia we pimbi hii hausiani na tarehe 29

Ukitoa ushabiki wa kisenge, jamaa ana hoja

lakini tunaandamana wanchi na sio chama maana shida za hili taifa hawazipati chadema pekee

Hawa Washatolewa malinda

Sema njaa mbya ikatokea pakawa na baa lanjaa tz chakula kikawa chashida ndy yatatokea mandamano kama sudani

Asharamba asali huyu

hii waliongea wakati wa Maandamano ya.CDM mwaka jana 23 september yaliyo ongonzwa na mbowe

Machawa wa Chama Cha Mataira,,,, wajinga hawajielewi.

Mjinga akitema Ujinga wake kwa kujiamini anaweza onekana anabonga vya Maana na kumbe ni Ujinga tu.

Hawa kiasili ni wakenya

Lazma wamewafira.

Hawa wote wasenge

Sharti la kufutwa kesi yao

Anapaswa kufahamu haya mandamano hayakuitishwa na chama cha siasa.

Huyu jamaa wamesha mla ni amini mm tayari wamesha mfokonyoa

Wamelamba asali hawa tayari

Waliitwa hukumbuki? Octoba tunatoka, gen z follow me, ✊️

Huyu amekula bange
