Loading video...
Video Failed to Load
Huyu wa wapi tena?😃😃
48,571 views • 1 year ago •via X (Twitter)
9 Comments

modise ismail1 year ago
Hawa ni wa kuwakamata chain nzima na kuwaweka ndani. Yaani kuanzia msanii, producer, meneja, director wa video hadi boda alompeleka studio wote tia ndani😂

ATR Mtiling’ati1 year ago
Ana hoja akikaza atafika mbali

𝗝𝗮𝗺𝗮𝗮 𝗠𝘂𝘂𝘇𝗮 𝗗𝗮𝘄𝗮1 year ago
Kwamba wakina Mondi na Kiba walianzia huku??😃😃😃

Michael Mwanakatwe mkoma1 year ago
Hivi hapa mwenye kosa ni nan meneja wa msanii? Au director wake😤😤😤🚶

ɱTαɳɠαɳყιƙα❄1 year ago
huyu jamaa anajua sanaaaa😂

Dr Calipso1 year ago
😂😂 oya mi sitaki anipende eti watanzania wote nawapenda anazingua huyu jamaa miyeyusho 😂

Sabrina🌷1 year ago
😂😂😂🙌🏾

It all started in 1948🇹🇿🇵🇸1 year ago
Hiki kipaji kikubwa sana, asikikizwe. Akienda kwa kina Salama na Rita anatoboa🤣

Pips_champagne1 year ago
@gwaxy19
