Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Huyu Mzee ๐
31,102 Aufrufe โข vor 11 Monaten โขvia X (Twitter)
22 Kommentare

Kupenda sifa ni nature ya binadamu yeyote. Kila mtu anapenda kusifiwa na ndo maana tunapambana ili tusiwe na sifa mbaya. Ila Mzde kanichekesha yaani nyumbani kwake kajaza walimu na trafic na anajisifia hivo. Sijui angekuwa na mmoja ni boss UN au ni professor Harvard kama wahaya๐

Huyu mhaya sema alihamia kondoa

Labda kama hamuwajui warangi vizuri... Mhaya akasome sifa kwa mrangi.

๐๐ eti wa mwisho alipata kichaa!!

Anapangilia vizuri maneno yake

๐๐๐๐

Anaweza kutick viboksi kadhaa kwenye criteria ya Hypomania.

Aliyekataa kusoma kapata kichaa๐๐๐

๐๐

Huyu hawezi kuwa mrangi๐๐

Mzee Mohamed Kova ,kisha tangulia mbele za haki

Uyu ni muhaya labda aliamia kondoa ๐๐

Mzee anaFlex balaa

Aliyekataa kusoma kawa kichaaa

Unauza nyumba kusomesha, Ajira hakuna. Bora ungeuza ukafanya mtaji au kuwekeza hisa mpaka mtoto akikua ni UNA KITITAAA

@xdownloaderbot

Huyu mzee ni kuma ๐

Hatunagaa tabia hizii lakin๐๐ ๐ ๐

Mkuu wa mkoa huyu, hana makuu kabisa!

Kwakweli amenena vyema.

huyu ni mhaya in nature

๐๐๐๐๐คฃ
