Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Ibada za mwenyezimungu Hazichezewi

17,062 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 1 Jahr

Sheikh akemea wanaoenda Makah na kufanya Show Off.. Pia akemea Matajiri wanaowalipia watu hao kwenda Makkah na kufanya hayo Msikilize.... Video kwa Comments 👇

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 1 Jahr

Kilichopelelekea Sheikh akasema haya ni hii video ya Mwijaku

Profilbild von Fundi Abbas
Fundi Abbasvor 1 Jahr

Sema jamaa alikosea sana hapa binafs kaitoa makkah maana

Profilbild von cultureman253
cultureman253vor 1 Jahr

Kwani uyu shekh ni ndugu yake rayvan

Profilbild von walk alone
walk alonevor 1 Jahr

Kiukweli kuna mambo ya ajabu ila hili ni la ajabu sana,halikuwa sahihi

Profilbild von kessy
kessyvor 1 Jahr

Sure upo sahihi kabisa

Profilbild von kundaeli
kundaelivor 1 Jahr

kweli Baraza la waislam lazima watoe Tamko juu ya hili kabla ya sikukuu ya Eddy,alichokifanya ni kitu kibaya ,unaleta mzaa sehemu alipozikwa Mtume

Profilbild von Mr innocent
Mr innocentvor 1 Jahr

@MwijakuBurton kazingua

Profilbild von Alphonce C L
Alphonce C Lvor 1 Jahr

So mtu anatakiwa awe mnyenyekevu anaposhika hilo jiwe? Nadhani kila mtu aheshimu imani ya mwenzake nyie si huwa mnawacheka wanaokanyaga mafuta? Hiki ni nini sasa so hapo wanaposhika ni nyumba ya mungu? Ni Mungu au ni nini? Why wanasema swala kwa jiwe?

Profilbild von Blaack Panther
Blaack Panthervor 1 Jahr

@MwijakuBurton uje ujifunze na kaa ukijua hata chawa huwa zinakufa 🙏

Profilbild von margaret mutheu
margaret mutheuvor 1 Jahr

Mi sio muislam lakini sikupenda nilicho ona

Ähnliche Videos