Aiseee ๐โโ๏ธ Tufanyeni sana Ibada
@Rydx_017102K followers
61,870 views
34 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@SUBDIMITRY
Hii huwa inatokea kwasababu ya volcano ya geologia ya miamba
14 likes

@DicksonSikawa1
Sasa marehemu asiote moto jamn ๐ฎ
14 likes

@TherealBihemo
Tayari mtu ameanza kutumikia adhabu yake ya moto wa milele๐๐
11 likes

@dumelambegu_OG
Kuna mtu anaamini Mambo ya mbinguni na motoni ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ watu wanachoma vyungu nyie mnasema kaburi ๐ญ๐ญ
11 likes

@shaks_prince
Huu ni uwongo.
6 likes

@nachocharuwa
Halafu mazingira mbona kama sio kaburi?
6 likes

@AthanasBenson
Akili za watu wa dini ๐ฎ๐
4 likes

@MacAlpho
Hmmh, hii sio AI kweli?
4 likes

@mananajr_
Utuammbie ibada ya nini na ya kazi gani
3 likes

@ChimbozT
Siwamrushie mahindi aendelee kuchoma
3 likes

@Tariq9116404
Ila waislam waoga kweli
2 likes

@De_Cyola
Mambo ya kutishana tu, hakuna moto wala pepo Kila mtu shuhuli yake inaishia hapahapa dunian
2 likes

@selemasaki
Ni wapi tena huku?
2 likes

@rayasel94
Ibada itazima uo moto?
2 likes

@Kisadoyx
Hakuna kaburi hapo
2 likes

@YusuphBonito1
Ili iweje
1 like

@yasukesanada
Ukute maremu anachoma skanka, always a stoner till death ๐
1 like

@albanodaudj
Acheni uongo.. kaburini hakuna moto.. moto utakuepoa baada ya hukumu, arf nyie mnatudanganya sana.
1 like

@EdgarTesha80859
Kwa hy mtu asipike uko aliko
1 like

@apto96
Ni mbaya๐
1 like














